Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maslahi ya haki za binadamu mwenyezi Mungu zuia harakati zozote za kumrejesha mtu huyu. Kama ni suala la Maisha basi MJAALIE NEEMA ZINGINE lakini sio za UONGOZI.
Mmmhh!Kama Makonda amerudi nae atarudi, ni watu wenye msimamo na wazalendo. Nashangaa ni kwa nini mpaka sasa hajarudi.
Kweli mkuu,Kama Makonda amerudi nae atarudi
kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana kwake yeye atutiaye nguvu, na sio kwa ujanja wetu, bali kwa Neema na Baraka zake...Kwa maslahi ya haki za binadamu mwenyezi Mungu zuia harakati zozote za kumrejesha mtu huyu. Kama ni suala la Maisha basi MJAALIE NEEMA ZINGINE lakini sio za UONGOZI.
Makonda sio mbaya na wala sio katili. Ni watu wachache tu wameshindwa kumuelewa. Makonda ni mtendaji mzuri sana , anajiamini na pia anathamini utu na maisha ya watu. Pia Makonda pamoja na mikwaya yake yote lakini ukimchunguza sana utagundua ni mtu mwenye imani na hofu ya Mungu.Kama Makonda amerudi nae atarudi, ni watu wenye msimamo na wazalendo. Nashangaa ni kwa nini mpaka sasa hajarudi.
Wewe nadhani ndie yule Shemeji yetu. Hebu acha watu baki ndio wamzungumzie na sio nyie familiaSabaya hana ubaya ila wakuu wake ndio wanaubaya ,jingine hakuwa anashida alikuwa anatumbua watu so akatumbuliwa
Simjui sabaya na sijawahi kumuona live kabisa nasema ukweliWewe nadhani ndie yule Shemeji yetu. Hebu acha watu baki ndio wamzungumzie na sio nyie familia
Kuna wakati status yake ya WhatsApp aliandika hilo jina hapo " SweetyCandy".Simjui sabaya na sijawahi kumuona live kabisa nasema ukweli
Too late sasa hivi ni team Magufuli bro,wote watarudi Kizimkazi washamzidi maalifaKwa maslahi ya haki za binadamu mwenyezi Mungu zuia harakati zozote za kumrejesha mtu huyu. Kama ni suala la Maisha basi MJAALIE NEEMA ZINGINE lakini sio za UONGOZI.
Mungu atuepushe. Itakuwa Mungu kalichoka hili Taifa.Kwa maslahi ya haki za binadamu mwenyezi Mungu zuia harakati zozote za kumrejesha mtu huyu. Kama ni suala la Maisha basi MJAALIE NEEMA ZINGINE lakini sio za UONGOZI.
Sio kwa chama hikiSabaya ameshafungwa kwa zaidi ya miezi 6 hivyo kupoteza sifa za kuwa kiongozi wa umma.