Mungu wa Mbinguni ninakuomba uepushe mbali Ole Sabaya asirejeshwe ktk nafasi za uongozi

Sabaya anakuja kuwa RC Dar es Salaam, waovu wote walioshiriki mateso ya wananchi wakati wa awamu ya tano wanarudishwa kwenye mfumo
 
Kwa maslahi ya haki za binadamu mwenyezi Mungu zuia harakati zozote za kumrejesha mtu huyu. Kama ni suala la Maisha basi MJAALIE NEEMA ZINGINE lakini sio za UONGOZI.
Ameeeen!
 
Kwa maslahi ya haki za binadamu mwenyezi Mungu zuia harakati zozote za kumrejesha mtu huyu. Kama ni suala la Maisha basi MJAALIE NEEMA ZINGINE lakini sio za UONGOZI.
Nilisoma mahala kwamba lengo ni kurejesha lile jeshi la magu coz maza haoni mbele njema kwa mwenendo wa sasa, na kwamba itakuwa ni undava undava.... yale mambo ya matajiri kuisoma namba yanarudi!... nimesikia lakini
 
Makonda ana imani na hofu ya mungu

Alivyowaita wale wa mama wakiotelekezwa na waume zao na yule mal***ya binti akasema mtt wa nje wa lowassa bro yule jamaa alivyokua mtt alikua na autism unajua wengi wenye autism wana matatizo ya kutopenda kusikiliza wenzao kuona wao wanauwezi kuliko wengine iyo by nature.
 
Kwa maslahi ya haki za binadamu mwenyezi Mungu zuia harakati zozote za kumrejesha mtu huyu. Kama ni suala la Maisha basi MJAALIE NEEMA ZINGINE lakini sio za UONGOZI.
Maombi yako yamefika mbele ya Wana Jf, ngoja tuyachambuwe kabla hayajafika kwa mzee wa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…