Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Duuh! Pole sana mkuu mshukru Mungu kwa kufanya ibada na kutoa sadaka.Mungu ashukuriwe sana kwa neema na baraka zake.
Nimepata ajali ya kugogwa na gari wakati nakatiza njia .
Nashukuru nipo salama ingawa nimepata jeraha dogo.
Ahsate sana M/Mungu kwa kunilinda
Naona umeamua kutumia jina lako la utotoni...[emoji5] [emoji5] [emoji5]Mungu mwema pole san
HuhuhuhuNaona umeamua kutumia jina lako la utotoni...[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Mungu ni wa ajabu sana akiwa upande wakoMungu ashukuriwe sana kwa neema na baraka zake.
Nimepata ajali ya kugogwa na gari wakati nakatiza njia .
Nashukuru nipo salama ingawa nimepata jeraha dogo.
Ahsate sana M/Mungu kwa kunilinda
Pole sana mkuuMungu ashukuriwe sana kwa neema na baraka zake.
Nimepata ajali ya kugogwa na gari wakati nakatiza njia .
Nashukuru nipo salama ingawa nimepata jeraha dogo.
Ahsate sana M/Mungu kwa kunilinda
Nitafanya hivo kwa uwezo wa M/MunguDuuh! Pole sana mkuu mshukru Mungu kwa kufanya ibada na kutoa sadaka.