Mungu yumwema nipona katika ajali.

Amina
Ila inabidi uende kuchekiwa hospitali.. kama hujafanya hivyo.
 
Pole sana. Umepoteza nafasi ya kufa kwa raha. Hii inaitwaga, died on the spot, or pronounced dead on the scene! Hiki huwa ni kifo kisocho na maumivu, au maumivu yanayodumu kwa muda mfupi kabla roho haijaacha mwili.
 
Pole sana mkuu Mungu ni mwaminifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…