Mungu yumwema nipona katika ajali.

Mungu yumwema nipona katika ajali.

Mungu ashukuriwe sana kwa neema na baraka zake.
Nimepata ajali ya kugogwa na gari wakati nakatiza njia .
Nashukuru nipo salama ingawa nimepata jeraha dogo.
Ahsate sana M/Mungu kwa kunilinda
Mungu ni wa ajabu sana akiwa upande wako

Kuna jamaa kapata ajali ya pikipiki juzi kati, aliseleleka kukatiza barabara ya lami.
Lakini cha ajabu hakupata hata mchubuko.

Pole sana Chief
 
Mkuu hata Mungu anafurahi kwa kuwa umerudisha shukrani kwake.

Pole sana na hongera sana kwa kunusurika
 
Back
Top Bottom