hmaloh
Senior Member
- Nov 22, 2018
- 162
- 314
Asalaam aleykum wana jf wengine itifaki imezingatiwa,leo nimeamua kuja na hii mada yakuwa Mungu yupo na anafanya kazi katika Kila sekunde ya saa kama hauamini basi nikwasababu tu umekataa kuamini kuwa yeye yupo na anatenda (God is almighty) pia haangalii dini wala dhehebu ila Imani yako thabiti tu itakukutanisha naye achana na wale wapuuzi wanaojiita atheists ukifatilia sana unaweza ukawakuta wana matatizo ya afya ya akili.Nakumbuka 2022 huo mwaka ndo nilijua yeye yupo na tena anatenda siwezi kufunguka yote kwasababu nitajaza server za jf,ila trust me yakuwa Mungu yupo na anatenda ila kama mtahitaji ushuhuda nipo tayari kuutoa