Mungu yupo kwa ajili yako. Amka!

Hiyo saa 6 in maana gani?
Yani saa ziko sita?

Nisaidie nielewe, mimi ni Alien kutoka Mars nimekuja mwaka huu duniani.
It means in order avoid escape velocity from the mars we need 6hr and 6 million joules... According to Kepler's third law
 
Your question are infinity
No really, Im from Mars....I need to fully understand your concepts.
And maybe through explaining them, you can finally realize that they are nothing more than just concepts
The concept of time is just that, a concept.

In reality there is no time, and if there was then NoW is the only real time.

Because everything is happening now. Even the past and the future exist in now.

When you think of the past, or when you plan for the future....you are doing it now..
Everything you can do can only be done now..
Now is everlasting , it has no beggining nor end.
And so time in that sense does not pass.
But our concepts of time in our brains are the ones that pass.

In reality, time is only ticking in your brain.
 
 
Huyo polisi anagawa bure au?
Haya sasa kumbe kiswahili upo vzr tuu..
Mi kile kingereza mwenzako huwa nachukua kwa comment za watu..

Sasa wewe umekuja mazima et now mara absolutely... Mchawi mkubwa wewe 😂😂😂😂😂😂
 
Story ndefu ya kuokota okota tu.

Uwezi jiandikia vitu kutoka kichwani kwako.

Ukitaka kuongelea maswala ya dini kitaalamu dunia ya leo elimu ‘religious archeology’ inapatikana bure.

Uwezi kufanananisha misingi ya ‘Abrahamic Religions’ na Hinduism; hizo Abrahamic religions zenyewe source ya vitabu vyake ni mtihani. Wanachokubaliana ni kwenye monotheism na story za agano jipya, be it kuna variation.

Fanya investigation zako utajua hawa wote walikuwa watu wamoja, story ni ndefu.

Swali la kujiuliza if you add science in the equation sisi binadamu tumetokea, maana ukishaelewa misingi ya dini ni kwamba ni structured story ya ku-control jamii, halafu kuna vitabu vya Plato republic like how did he acquire the knowledge useful for our times. Wakati Dunia imepitia miaka mingi sana ya conservatives (kwa misingi ya kidini). Mingi you Plato ni 350 BC.

Binafsi nahitimisha uelewa halisi wa uwepo wetu hapa duniani ni mtihani kila mtu aamini anachotaka, Kwangu mimi akili za Plato kuweza kuandika kitabu chake cha Repulic, its way above any of Nostradamus prediction,


Ukisoma Plato ‘Republic’ na kukielewa unabaki na maswali kuliko majibu, unaanza kuwa mateka wa ‘ancient civilisation theorists’.

Shida yetu kubwa watanzania ni kudhani unaweza andika tu vitu kutoka kichwani kwako bila ya kutumia accepted logical reasoning on the subject. Uwezi fanya hivyo sehemu nyingine kuna kanuni za ku-argue kwenye kila topic.
 

1. Mimi Ni nafsi iliyo hai
2. Lini nimeanza kuishi hainihusu. Zaidi inamuhusu alieniumba maana kujitambua kumekuja baada yakuwa tayari ninaishi japo najua fika sikuwepo siku zote lkn Kuna uwezekano wa kuwepo milele au kufutwa na nisiwepo kabisa yote yanawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…