nyoka in
JF-Expert Member
- Aug 27, 2024
- 518
- 318
Acheni kuwa na chuki kwa taifa ambalo neno la Mungu limepitishwa Tena kwa maandiko na kumbukumbu kwa vizazi vyote.Usipotezwe kiboya hivo.
Hao watu wa middle east ni mfano tu, au tuite metaphor.
Na wanatumika hao kama mfano maana enzi hizo walikuwa na nguvu/uwezo wa kusambaza dini zao.
Lakini dini kama mfumo wa maisha umekubalika na wanadamu wote, haijalishi ni kina padri, majambazi, au hata cannibals.
Kwahyo kuwa na dini si lazima uamini hizo kutoka kwa watu wa middle east.
Hata ukifata za ukoo wenu au hata ukitengeneza uhusiano wako binafsi na Mungu.
ila as long as unatengeneza uhusiano na Mungu, Basi una Dini.
Mnajitahidi Sana kutaka kujifunza kuhusu Mungu kupitia ubishi na chuki Jambo ambalo haliwezekani. Lkn nataka niwaeleze wote ambao Ni wapingaji kwamba; mtazunguka dunia nzima kumtafuta Mungu kwa fikra zenu lakini bado mtakwama.
Mungu njia yake Ni rahisi na ipo wazi kwa wote. Nmeshindwa kuwa na kiasi katika tamaa za miili yenu, alafu eti kinga iwe Ni kuwa Mungu alitakiwa aonekane ili tumwamini.
Ukweli Ni kwamba Mungu anaonekana lkn kwa walio wake tu.
Hayo mnayobishania na kuyapuuza ndiyo yenye uzima ndani yake. Yale mnayoyaamini na kuyashupalia Ni kutaka kinga ili muwe huru kufanya tamaa za miili yenu. Mbona iko wazi tu. Maana toka nmeanza kusoma vitabu, hakuna ujumbe wa kina na wenye kuridhisha nafsi ya mwanadamu Kama ule ulio kwenye biblia. Zaidi Ni mbwembwe tu na kujiinua inua ili na wewe uonekane eti unaakili. Akili za wapi hizo Kama sio wendawazimu na kujilisha upepo.