Mungu yupo kwa ajili yako. Amka!

Acheni kuwa na chuki kwa taifa ambalo neno la Mungu limepitishwa Tena kwa maandiko na kumbukumbu kwa vizazi vyote.

Mnajitahidi Sana kutaka kujifunza kuhusu Mungu kupitia ubishi na chuki Jambo ambalo haliwezekani. Lkn nataka niwaeleze wote ambao Ni wapingaji kwamba; mtazunguka dunia nzima kumtafuta Mungu kwa fikra zenu lakini bado mtakwama.

Mungu njia yake Ni rahisi na ipo wazi kwa wote. Nmeshindwa kuwa na kiasi katika tamaa za miili yenu, alafu eti kinga iwe Ni kuwa Mungu alitakiwa aonekane ili tumwamini.
Ukweli Ni kwamba Mungu anaonekana lkn kwa walio wake tu.

Hayo mnayobishania na kuyapuuza ndiyo yenye uzima ndani yake. Yale mnayoyaamini na kuyashupalia Ni kutaka kinga ili muwe huru kufanya tamaa za miili yenu. Mbona iko wazi tu. Maana toka nmeanza kusoma vitabu, hakuna ujumbe wa kina na wenye kuridhisha nafsi ya mwanadamu Kama ule ulio kwenye biblia. Zaidi Ni mbwembwe tu na kujiinua inua ili na wewe uonekane eti unaakili. Akili za wapi hizo Kama sio wendawazimu na kujilisha upepo.
 
 

Attachments

  • 9F131022-A3F7-4075-85E6-E2A0AC701FBF.jpeg
    129.8 KB · Views: 2
Hata asili yetu watz tulikuwa na ibada za asili lkn hazikutosha Hadi pale ilipokuja dini yakweli yenye ushawishi mkubwa.

Kama neno la biblia lilitoka kwa wayahudi wenyewe basi wanastahili pongezi na kupata wafuasi duniani Kama ilivyo leo, maana wamethubutu kuandika maneno yakustaajabisha na wameionesha dunia jinsi walivyotuzidi akili. Wazingatiwe.

Lkn Kama biblia Ni neno la Mungu mwenyewe basi anastahili sifa na utukufu wake, maana neno linaakisi maana nzima ya maisha.

Lkn wewe umeniwekea picha ya open shoes umeudhihirishia Uma namna akili yako ilipogota huna jipya, fata akili kubwa maishani acha ubwege
 
Kwani tunaposema Mungu wewe unaelewa tunamaanisha nini mpaka upinge?
mbona story zinakua nyingi.? mnaesemaga mungu mnazunguzia muweza wa yote ashindwi na chochote alieumba kilakitu mwenye huluma na upendo.! alieandaa Moto kwaajili yakuchoma viumbe vyake.! HAYUPO
 
Atheist karibu wote Ni wajuaji, Ni ngumu kwao kudhani hawako sawa kifikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…