Mungu yupo, na anatenda kazi

Amina, japo sijasoma yote ubarikiwe kwa kushuhudia uwepo wa Mungu ktk maisha yako na Mungu akupe hitaji la moyo wako...

Ni kweli Mungu yupo nami kwa nguvu zote nashuhudia yupo na amekuwa mwema sana maishani mwangu hadi naona kbs ananipendelea na si kwa sababu mi ni mwema hpn mimi sio mtu mwema ila kwa sababu Mungu ni mwema amenitendea mema mengi sana namshukuru sana kwa kweli mi ni mtu ninae kosea sana Ila kimiujiza Mungu ananisaidia naepuka matokeo mabaya ya uzembe wangu hata yakinipata nikapoteza ananipa tena hamna nilichomuomba Mungu hlf sikukipata nasema tena hakuna kwa kweli japo vipo nilivyoona kama ameninyima baadae niligundua ni somo mfano enzi hizo shuleni tukiwa ktk foleni ya kupasi ili tuende kanisani umeme ulikatika rafiki yangu tuarira mmbaga sasa ni marehemu akamuomba Mungu umeme urudi ili apasi nguo yake pale pale umeme ulirudi na alipomaliza ulikatika tena nami nikamuomba ila haukurudi ikanibidi kwenda hivyo hivyo bila kupasi ila baadae nilipata somo kutokana na mkasa huo... Japo huko nyuma alishanitendea tukio la kufanana na hilo nilikuwa nasoma hadi usiku sana Ila siku hiyo nikawa napata msukumo toka ndani ukinitaka niache nilale ila kwa akili za kitoto bila kujua it's an inspiration from God nikafanya kuomba kama ni msukumo wako Mungu nilale basi naomba umeme ukatike na ulikatika ndani ya dk zile zile nikalala ni vingi hata vile vya kawaida kbs

Mungu ni vingi amenipa namshukuru sana japo najua kuna somo anataka nilipate Ila nazidi kumuomba anirudishe ktk njia yake maana sasa nimezama duniani sana, usisite kumuomba Mungu Kwa moyo wako atakutendea we muombe tu atafanya usiingize akili za kibinadamu kwamba hili haliwezekani we amini ye akisema liwe linakuwa kikubwa iwe kwa utukufu wake usijiangalie ww au wengine wanalichukuliaje ila muombe na usimpangie njia atatenda
 
Sasa si umuombe tena dada yako arudi akusaidie kwenda kanisani utubu na kumrudia Mungu wako?

Mungu ni wa rehema na wa kusamehe. Ukitubu kweli kweli utasamehewa. Pia ni vizuri ukimuona mtumishi ana kwa ana itakusaidia kurejeshewa nguvu za Mungu.
 
Pia mpenzi nikukumbushe kitu kimoja hakuna ombi linalojibiwa kwa haraka kuzidi ombi la toba na msamaha yaani ni kitendo cha pale pale unasamehewa wala huhitaji nabii ama mtume Hilo ni lako na Mungu wako kikubwa kujitahidi kutokuyabeba majuto na hisia za kuona Mungu hajakusamehe Ila msamaha ni pale pale mi nakushauri soma biblia na maombi binafsi pia tembelea kanisa jirani na ww la wasabato watakupa msaada zaidi
 
Omba yasikukute, sikia tu na kusoma stori za watu kama hivi narudia Omba yasikukute.. mjaa laana.
 
Wakala Mkuu wa shetani unateseka sana ukijaribu kukufuru kwa kuhadaa Watu wasimjue MUNGU katika Roho na Kweli, pole sana Ndugu kwa majuto unayopitia [emoji16]
 
Umeandika pumba sana wewe unajiona mwanasayansi. Pilato na usomi wake wote alitambua uwepo wa Mungu. Pole sana
 
huyo mwanaume uliye sex nae,alikutumbukizia yeye au ulimtumbukizia weye?.."kuwa mkweli,ujue umeokoka weye!
 
Yep, Mungu kwa sehwmu kubwa amebaki kwenye nchi masikini au zisizo na elimu ya uhakika
 
Kanisani Kuna nguvu za kuondoa mapepo ila inategemea na kilinge mchungaji alikopata hizo nguvu. Kila mchungaji na kilinge chake ila ni Siri kubwa.
 
Halafu mwamba kama huyu unakuta hajui lolote kama mimi. Anapinga kilichomkuta mtu...bad thing unakuta una mambo ya kiganga/kishirikina katika paractices zao. Hapo unakuwa unapotosha watu mkuu
 
Yep, Mungu kwa sehwmu kubwa amebaki kwenye nchi masikini au zisizo na elimu ya uhakika
Kawaulize wazee wako zile mila zenu kwanini hawaziachi, unaweza kuta wewe unapenya but wao walisadakisha😊. Ila huko mbele inaweza kuta watoto au wajukuu.
 
Fact ni kuwa kama haujui lolote katika mambo hayo spiritual, dont kill the moves. Mfano mimi sijui, huwa nashindwa kuwapinga walikutwa na hayo mambo. Kukataa uwepo wa Mungu(Source of Creation) wakati hauna proof ya kuwa hayupo na wala haujaweza kutuambia source of creation inatia shaka. It starts with the big bang, who started that big bang...ooh its just bing bang ni ubabaishaji huo... Bora useme haujui tu.
 
Polee, lakini kama umejua ulipokosea Mungu anasamehe kwanini usirudi tena katika hilo kanisa na kuomba toba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…