Munkari na kiranga cha under 20

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Unajifahamu kabisa umri umeshaenda hata ukikojoa mkojo hautoboi mchanga halafu unaenda kudate kibinti kibichii, wewe umeshazoea haya mambo hakuna jipya, lakini chenyewe bado kina munkari kina kiranga cha kufanya yale ya unagoni na kwenye porn videos! Kinataka kijaribu kita kitu kinakushika hapa kinakutekenya pale kinakunyonya huku, hapo ulishapiga moja, chenyewe kinaona ile ilikuwa ni pre match, kinafanya manjonjo yote wapi asu haamshi popo! Kinabaki na mshangao huyu mbaba vipi? Kimehemkwa kinakupanda kinashuka uko tulii unakaangalia unakaonea huruma kanakuangalia kanakushangaa
 
Mshana leo naona umemka na mambo🙂 Huku changudoa na mood; huku under 20....Ngoja niwahi shambani
 
Wanafuata fedha so hela ndo inawariwadha
 
umeona eh? Mtu anakesha akiwaza leo nitoke vipi. Basi tabu tupu.

jamani kama hamtaki tuanzishe mada mnakimbilia jf kufanya nini asubuhi asubuhi?
 
kuna 'sredialisis syndrome'

kongosho hatufanani kila mtu ana hobbie yake wengine kama yangu, wengine kutoa maoni, wengine kutoa maoni, wengine kutoa like, wengine kusoma tuu! Ni chain. Huwezi kucomment kama hakuna mada, na huwezi kuanzisha mada kama hakuna wachangiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…