Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Unajifahamu kabisa umri umeshaenda hata ukikojoa mkojo hautoboi mchanga halafu unaenda kudate kibinti kibichii, wewe umeshazoea haya mambo hakuna jipya, lakini chenyewe bado kina munkari kina kiranga cha kufanya yale ya unagoni na kwenye porn videos! Kinataka kijaribu kita kitu kinakushika hapa kinakutekenya pale kinakunyonya huku, hapo ulishapiga moja, chenyewe kinaona ile ilikuwa ni pre match, kinafanya manjonjo yote wapi asu haamshi popo! Kinabaki na mshangao huyu mbaba vipi? Kimehemkwa kinakupanda kinashuka uko tulii unakaangalia unakaonea huruma kanakuangalia kanakushangaa