Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni uzinzi...
mkuu wa chuo mzima hujui maana ya kiranga kweli? Kamusi pia huna? Kiranga ni kiherehere
usisahau kuniletea matunda na muhogo
bulldog sidhani kama kuna watu wana hakimiliki na maneno ya kiswahili
Si wanasema ngawira ni kila kitu..Unajifahamu kabisa umri umeshaenda hata ukikojoa mkojo hautoboi mchanga halafu unaenda kudate kibinti kibichii, wewe umeshazoea haya mambo hakuna jipya, lakini chenyewe bado kina munkari kina kiranga cha kufanya yale ya unagoni na kwenye porn videos! Kinataka kijaribu kita kitu kinakushika hapa kinakutekenya pale kinakunyonya huku, hapo ulishapiga moja, chenyewe kinaona ile ilikuwa ni pre match, kinafanya manjonjo yote wapi asu haamshi popo! Kinabaki na mshangao huyu mbaba vipi? Kimehemkwa kinakupanda kinashuka uko tulii unakaangalia unakaonea huruma kanakuangalia kanakushangaa