Juzi nilimwona huyu kijana kwenye interview moja kwenye Tuzo za hapa Tz. Dah kama sio Molly basi Bangi au Alcoholic huyu dogo. It's sad cause dogo ana uwezo mkubwa sana kimuziki.
Ni katika wanamziki wenye real talent Tanzania ila sijui ni stress za kuona fame yake na maisha haviendani. Sijui ila anaelekea pabaya mtu asipomkalisha na kumpa ushauri.