Muombeeni Ben Pol

Muombeeni Ben Pol

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Juzi nilimwona huyu kijana kwenye interview moja kwenye Tuzo za hapa Tz. Dah kama sio Molly basi Bangi au Alcoholic huyu dogo. It's sad cause dogo ana uwezo mkubwa sana kimuziki.

Ni katika wanamziki wenye real talent Tanzania ila sijui ni stress za kuona fame yake na maisha haviendani. Sijui ila anaelekea pabaya mtu asipomkalisha na kumpa ushauri.
 
Embu eleza vizuri , uliona nini?
 
Mimi pia niliona, ila nasikia jamaa anatumia ngada ndio maana sikushangaa sana.
Sasa kama ni kweli (anatumia ngada) tumuombee nini? Si kaamua kutumia kwa mapenzi yake mwenyewe?
 
Kuna watu wanapinga ila Ben anakipaji ana vitu vichache sana vya kurekebisha!
Ana uwezo mkubwa pia wa kuimba live yofauti na waimbaji wengi hapa kwetu ambao huwa wanategemea playback, nilishashuhudia sehemu kma mbili hivi anaimba live he's good
 
Mnatuchosha mi nilijua kapata ajali kaumia tumuombeee ,aargh
 
mimihapauk

Nilijua utasema tumuombee kwa vile kapata ajali ya kuzama na boti baharini sijui ziwani!?
 
Last edited by a moderator:
Kama anakula UNGA atakua ni mpumbavu sana...

He is the most favorite of many..
Siju wanapotea wapi hawa wasanii..
 
hakuna msanii ninayempenda kama huyu dogo lakini nashindwa kuelewa kitu gani kina mkwamisha kama nikweli anatumia hivyo vitu yawezekana ikawa sababu.
 
Siamini na sitaki kuamini na ninaomba niwe wa mwisho kuamini ninayo yasoma humu.....kama ni kweli kakweli nitaumia sana...daa sitaki kuamini
 
Back
Top Bottom