Muombeeni Ben Pol

Siamini na sitaki kuamini na ninaomba niwe wa mwisho kuamini ninayo yasoma humu.....kama ni kweli kakweli nitaumia sana...daa sitaki kuamini

Kama ni kweli apewe msaada wa haraka.
Inasikitisha sana.
 
Siamini na sitaki kuamini na ninaomba niwe wa mwisho kuamini ninayo yasoma humu.....kama ni kweli kakweli nitaumia sana...daa sitaki kuamini
Aisee mimi kwa nilivyomuona....sijui kwakweli. Kuna watu niliwahi kuwasikia wanasema walimuuliza kwanini anatumia ngada? Akasema eti ili apate stimu za kuimba pia anakuwa na sauti nzuri.
(Nilisikia tu, sina uhakika ila kwa nilivyomuona possibility ni kubwa kua anatumia)
 
Kama anakula UNGA atakua ni mpumbavu sana...

He is the most favorite of many..
Siju wanapotea wapi hawa wasanii..

Kila mtanzania anakula unga. Ugali, chapati, hata bia kasoro konyagi
 
Jamaa yupo poa ila stress tu, tuzo yake kalundikiwa huihui mmoja, ya Barnaba nayo kapewa huihui, ya Diamond nayo kapewa huyo huyo huihui. Kijana ameshindwa ku contain machungu ndo maana ulimwona kama kala ngada.
 
nilikutana naye juzi mbalamwezi anaonekana mchovu na anakunywa hatareee tena mchana kweupee ...
 
Huyu ni kweli anatumia,ninamshukuru mungu DIAMOND HATUMII NA ASIJE KUTUMIA
 

Duu hivi huyu mtoto nae kwanini ana jimaliza?
 
Kama anakula UNGA atakua ni mpumbavu sana...

He is the most favorite of many..
Siju wanapotea wapi hawa wasanii..

Halafu kijamaa bado kidogo, kina bright future...
Watu wake wa karibu wamwambie aache upumbavu anaoufanya...
 
Kama ni kweli, mambo yake imeishia hapo. Lakini kwanini hawajifunzi?
 
dogo amekaa kilokole sana mbona...du kama anatumia hayo madude ndio basi tena..
 

Benpol havuti chochote.
 
Hv nikweli hyo kitu ukionja huwez kuacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…