data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Siamini na sitaki kuamini na ninaomba niwe wa mwisho kuamini ninayo yasoma humu.....kama ni kweli kakweli nitaumia sana...daa sitaki kuamini
Kama ni kweli apewe msaada wa haraka.
Inasikitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini na sitaki kuamini na ninaomba niwe wa mwisho kuamini ninayo yasoma humu.....kama ni kweli kakweli nitaumia sana...daa sitaki kuamini
Aisee mimi kwa nilivyomuona....sijui kwakweli. Kuna watu niliwahi kuwasikia wanasema walimuuliza kwanini anatumia ngada? Akasema eti ili apate stimu za kuimba pia anakuwa na sauti nzuri.Siamini na sitaki kuamini na ninaomba niwe wa mwisho kuamini ninayo yasoma humu.....kama ni kweli kakweli nitaumia sana...daa sitaki kuamini
Kama anakula UNGA atakua ni mpumbavu sana...
He is the most favorite of many..
Siju wanapotea wapi hawa wasanii..
mrisho au?Ngasa=Poda
Mnatuchosha mi nilijua kapata ajali kaumia tumuombeee ,aargh
Aisee mimi kwa nilivyomuona....sijui kwakweli. Kuna watu niliwahi kuwasikia wanasema walimuuliza kwanini anatumia ngada? Akasema eti ili apate stimu za kuimba pia anakuwa na sauti nzuri.
(Nilisikia tu, sina uhakika ila kwa nilivyomuona possibility ni kubwa kua anatumia)
i love the guy mpaka sitaki hata kuona huu uzi
Kama anakula UNGA atakua ni mpumbavu sana...
He is the most favorite of many..
Siju wanapotea wapi hawa wasanii..
Real talent? Kwa kucopy talents za wengine au Talent ipi?
Tushachelewa tulimwqmbia akae mbali na lord eyez hakusikiaKama ni kweli apewe msaada wa haraka.
Inasikitisha sana.
Aisee mimi kwa nilivyomuona....sijui kwakweli. Kuna watu niliwahi kuwasikia wanasema walimuuliza kwanini anatumia ngada? Akasema eti ili apate stimu za kuimba pia anakuwa na sauti nzuri.
(Nilisikia tu, sina uhakika ila kwa nilivyomuona possibility ni kubwa kua anatumia)
Benpol havuti chochote.