Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Muonekano? Mwanaume anasifia muonekano wa mwanaume? Come on! Anyway, kwa kuwa jinisia za members humu are not disclosed, it might be right!Za kumsifia Shetanyahu vipi
Sidhan kama kamsifia unavyo fikiria wewe kamsifia kupunguza 40kg si mchezo, kupunguza 40kg kwa mda wa mwaka mmoja inataka ujitahidi.Muonekano? Mwanaume anasifia muonekano wa mwanaume? Come on! Anyway, kwa kuwa jinisia za members humu are not disclosed, it might be right!
We unaweza kupunguza kg 40 au ndio utabaki mifupaMuonekano? Mwanaume anasifia muonekano wa mwanaume? Come on! Anyway, kwa kuwa jinisia za members humu are not disclosed, it might be right!
Unataka nimsifie mama ako kwa kujenga matundu ya chooVinaanzaga hivi hivi....
Mwanaume kabisa unaanzisha uzi kusifia muonekano wa mwanaume mwingine?
Unaweza usijijue ila jichunguze kuna baadhi ya ma genes yameanza kukusaliti mwilini humo. Be careful
Ukiona hivyo wao ndo watumiaji wa hao wanaowaita mabwabwa, maana wana uzoefu wa kusifiwa na watu waoUnataka nimsifie mama ako kwa kujenga matundu ya choo
ExactlyMwamba kaweza siyo mchezo kupungua kilo 40,tunawasifia walioweza alafu mkileta hata mama zenu tunawapiga vipara.
Kama kawaidaMwamba kaweza siyo mchezo kupungua kilo 40,tunawasifia walioweza alafu mkileta hata mama zenu tunawapiga vipara.
Moscow: Jenarali katili aliye iadhibu Ukraine pamoja na Wanamgambo wa NATO na kufanikiwa kuteka miji muhimu huko Ukraine ameamua kupunguza uzito kg 40 na kubaki na mwili mwepesi kiutendaji kivita.
NB: Sasa we endelea kumeza vitumbua tu na safari za moto..
General Surovikin's transformation is quite impressive.
Dropped like 40 kg, but still wears the same suit. Iconic.
View attachment 3332100View attachment 3332102
Unajiita komeo la chuma wakati Diara katoka golini ukikohoa unachafua pempas na nnyaa.Ila nyie mashoga. Siku hizi hata hamwogopi. Mnajiweka wazi
Unajiita komeo la chuma wakati Diara katoka golini ukikohoa unachafua pempas na nnyaa.
Dogo unamsifia wakiume uyo jiangalie