Muonakano mpya wa General Surovikin baada kupunguza kg 40

Muonakano mpya wa General Surovikin baada kupunguza kg 40

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Moscow: Jenarali katili aliye iadhibu Ukraine pamoja na Wanamgambo wa NATO na kufanikiwa kuteka miji muhimu huko Ukraine ameamua kupunguza uzito kg 40 na kubaki na mwili mwepesi kiutendaji kivita.
NB: Sasa we endelea kumeza vitumbua tu na safari za moto..

General Surovikin's transformation is quite impressive.

Dropped like 40 kg, but still wears the same suit. Iconic.

IMG_20250512_221054.jpg
IMG_20250512_221059.jpg
 

Attachments

  • IMG_20250512_221057.png
    IMG_20250512_221057.png
    361.8 KB · Views: 19
Vinaanzaga hivi hivi....

Mwanaume kabisa unaanzisha uzi kusifia muonekano wa mwanaume mwingine?

Unaweza usijijue ila jichunguze kuna baadhi ya ma genes yameanza kukusaliti mwilini humo. Be careful
Unataka nimsifie mama ako kwa kujenga matundu ya choo
 
Vita ya kupambana na mwili ni ngumu sana. Jamaa kawa impressed na mwamba na si dhambi. Kupunguza 40Kgs si mchezo inahitaji commitment kubwa.

I'm impressed kwa kweli ngoja nipambane na hizi 12 zinazonisumbua baada ya kuanza kula hovyo bila mazoezi. Mazoezi ni afya
 
Moscow: Jenarali katili aliye iadhibu Ukraine pamoja na Wanamgambo wa NATO na kufanikiwa kuteka miji muhimu huko Ukraine ameamua kupunguza uzito kg 40 na kubaki na mwili mwepesi kiutendaji kivita.
NB: Sasa we endelea kumeza vitumbua tu na safari za moto..

General Surovikin's transformation is quite impressive.

Dropped like 40 kg, but still wears the same suit. Iconic.

View attachment 3332100View attachment 3332102


Ila nyie mashoga. Siku hizi hata hamwogopi. Mnajiweka wazi tu
 
Unajiita komeo la chuma wakati Diara katoka golini ukikohoa unachafua pempas na nnyaa.

Unafurahia mwanaume kupunguza uzito... Umenishangaza sana. Mtu mwanaume huwezi jiita green rajab. Green maana yake unaruhusu waarabu wakutifue tifue... Ndo maana unakuja anzisha uzi ukichekelea jamaa kapunguza uzito.
 
Back
Top Bottom