fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Hakuna makocha hapo kuna wahamasishajiAo makocha tuliwakosa kwa muda mrefu, Wanastahili kufundisha iyo timu kwa Mazingira tuliyonayo.
Wana elimu ya kutosha, wamecheza Mpira katika Mazingira magumu na ushindani mkubwa katika Ligi kuliko Sasa.
Wanafahamu Mazingira na akili/ uwezo wa wachezaji wetu.
Wanatengeneza timu ijayo ya taifa kwa umahiri mkubwa.
Nawashauri Tff ao jamaa (makocha)wa waajili Moja kwa Moja na si kuwalipa kipindi cha mashindano tu.
Wafanye kazi ya kutafuta wachezaji wapya wa timu ya taifa, kuwaelekeza wachezaji wachezaji Nini warekebishe wakiwa kwenye mashindano mbali mbali yanayo husisha vilabu.
Kwani ana kazi gani pale zaidi ya kuvizia goli lifungwe akakumbatiane na Mgunda?Leo kocha morocco katangaza timu ya taifa,mimi simchukii lakini ni dhahiri hana uwezo wa kufindisha timu ya taifa na hata kuongea hawezi,nimemsikia leo ni wa kumhurumua tu.Nadhani ni mradi wa mtu fulani hapo tff kumpa yeye ukocha ili wagawane mshahara.Kituko cha mwaka ni julio alichoongea leo ni takataka tupu,kuwalaumi waandishi na kumtaja shafi dauda kuwa ni mtu mouuzi fulani hivi,kwani analazimisha mchezaji wake kachwrle achaguliwa taifa stars.Julio hafai kuwa kocha,julio ni mropokaji tu.Tff chukueni hatua haraka
Rekodi zao kwenye timu mpaka Sasa inaonyesha wamefanikiwa.Hakuna makocha hapo kuna wahamasishaji
Huyo Dauda naye anajifanyaga mjuaji mpeni timuLeo kocha morocco katangaza timu ya taifa,mimi simchukii lakini ni dhahiri hana uwezo wa kufindisha timu ya taifa na hata kuongea hawezi,nimemsikia leo ni wa kumhurumua tu.Nadhani ni mradi wa mtu fulani hapo tff kumpa yeye ukocha ili wagawane mshahara.Kituko cha mwaka ni julio alichoongea leo ni takataka tupu,kuwalaumi waandishi na kumtaja shafi dauda kuwa ni mtu mouuzi fulani hivi,kwani analazimisha mchezaji wake kachwrle achaguliwa taifa stars.Julio hafai kuwa kocha,julio ni mropokaji tu.Tff chukueni hatua haraka
dauda hana sifa ya kuwa kocha hata timu ya waleviHuyo Dauda naye anajifanyaga mjuaji mpeni timu
kuandika kwenyewe tabuTimu ya taifa hata kuchek mechi zake htwa nahsi kichefuchefu, unakuta timu haina muunganyiko,kila mtu anacheza kivyake kutafta sifa upumbavu mtupu.
rudia kusoma ulichokiandika kisha uniambie mwenye tabu ya kuandika ni wewe au mimi.kuandika kwenye tabu