Muonekano Cynthia Rock, aisee hazeeeki. Yaani bado kigoli, mtoto mbichiiii

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189

Pasina shaka ya aina yoyote ukisema umtaje role model wa wasichana wowote wanaopenda mapigano basi lazima utamtaja mwanamama Cynthia Rothrock ama Cynthia Rock kama anavyulikana na wengi.

Tangu enzi na enzi Cynthia amekuwa chachu ya wasichana wengi kutamani kujifunza sanaa ya mapigano kutokana na ustadi mkubwa anaouonesha mama huyu.

Mtaani au popote pale akionekana binti ni hodari wa kurusha mateke basi bila shaka atapewa nickname ya Cynthia.

Licha ya umri kusonga, Cynthia ukimtazama utasema ni binti wa miaka 28-40 kumbe wapi ni kikongwe chenye miaka karibia na 70 huko.

Huu hapa ni wasifu wake.
 
Enzi hizo kuna Cynthia Rothrock na Cynthia Khan. Hawa walikua kiboko kwa waigizaji wa kike wa filamu za mapigano
 
Nakumbuka ile movie Above the law akiwa na Biu Yuen na Melvin wong.

Movie Top Squad na movie No retreat No surender akiwa na Loren avendon, max thayer na matthias Hues

Mkandara alikuwa anatumia Mathias Lewis hahhha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…