Muonekano Cynthia Rock, aisee hazeeeki. Yaani bado kigoli, mtoto mbichiiii

Enzi hizo kuna Cynthia Rothrock na Cynthia Khan. Hawa walikua kiboko kwa waigizaji wa kike wa filamu za mapigano
Enzi hizo. Sisi enzi zetu tulikua na Cheng Pei-pei.
 
Alishikilia Umalkia wa Martial Arts kutoka 1981 hadi 1985
 
Miaka hiyo mji mzima mnaangalia filamu moja.
Hata leo ingebidi iwe hivyo movie mpya ikitoka ikiwa kali kwanza miezi kadhaa ionyeshwe kwenye majumba ya cinema tu; watu waende kuangalia huko watu wakishapata vijisenti ndio iamie kwenye video na mwisho tv wapewe kuonyesha..., ila huku tangia kitambo mpaka sasa ni mwendo wa piracy tu....; Anyway soko linalofuata ni la series na kampuni kama Netflix ndio litakuwa kimbilio la watu kujipatia vijisenti
 
Chai
 
Huyu hapa
 

Attachments

  • 1689885326391.jpg
    76.1 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…