Muonekano mpya wa Azam Complex, Uwanja wa klabu ya Azam

Muonekano mpya wa Azam Complex, Uwanja wa klabu ya Azam

Asante kwa taarifa

Ila designer(s) wa hawa jamaa wanakula pesa tu, Azam walipaswa wawe na uwanja mkali sana + facilities nyingine...
 
Azam FC wameachia picha za muonekano mpya wa mabenchi ya wachezaji wa akiba, baada ya kufanyiwa maboresho.
View attachment 3186394
Azam FC wameachia picha hizo saa chache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Uwanjani hapo.
View attachment 3186395
Mara ya mwisho Azam FC ilipocheza Azam Complex dhidi ya Fountain Gate, mabenchi yalikuwa katika muonekano wa kawaida.
View attachment 3186396
Ujumbe ulioandikwa katika kurasa za mitandao ya kijamii za Azam FC ambao umeambatana na picha hizo unasomeka: Azam Complex Is Ready. Uwanja wetu wa Azam Complex upo tayari kwa mechi ya mwisho ya kufunga mwaka 2024, wakati tutakapoivaa JKT Tanzania leo Ijumaa saa 1.00 usiku.
View attachment 3186398
Akili yao iko mbali sana..wanajiaandaa kuitumia fursa ya Afcon
 
Bakhresa na biashara zake ni mfano mzuri kutukumbusha kuwa chochote unachotaka kufanya anza na unapoweza, utaboresha na kubanuka baadae.

Wengi tunataka tuanze biashara kwa ukubwa ule ule wa mawazo yetu jambo ambalo ni gumu na mara nyingi haliwezekani.
Dah jf inavipanga walimu wazazi na kila fani hakika ww ni hazzina umeongea kwà experience ya hali ya juu na hili kila mmoja anajiona ana hatia tunataka kumiliki jkiwanda kikubwa kuliko more na baharesq lakin shining tukiipatA tumefanyia anasa
 
Napendekeza timu yetu ya Simba tuhamie Azam Complex.
Hapo KMC washakuja wenye nchi.
Hatuta toboa tukicheza uwanja mmoja nao.
 
Back
Top Bottom