Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Sembe a.k.a. dona imemfanya a corrupt mashairi hahaa
 
mmh anatisha .. hivi wanakimbiliaga nini kula unga wakati kuna starehe nyingine kibao?
 
Kuna nini katika tasnia ya muziki wa bongo flava?Nikimuangalia Chidi Benz, Mr Nice, Ray C nakuwa kama napoteza hope.
 
Madhara ya Madawa ya kulevya,vijana WENGI wazuri wameharibika sana.MUNGU tunusuru na janga hili..
 
🙂.🙂.🙂.🙂. Anasikitisha! powder mbaya sana! ni sawa na kula yamini! then ukosee masharti!
 
Back
Top Bottom