"Wanasema yawatu yakwao yanawashinda, aaaooooh, aaooooh oooh!
Waknock-knock wakusema mabaya..."
Pole sana chidi. Hakuna anayejua umepitia maswaibu gani mpaka ukateleza.
Kila mtu atasema lake airidhishe nafsi. Na ulichokifanya kilikuwa nikuburudisha nafsi zao.
Kwa punda huja mateke. Jikaze kijana. Haya ndo maisha. Na unayopitia taratibu yatakwisha.
Tunakuombea uirejee afya njema. Sisi pamoja na sala zetu zipo pamoja na wewe.
Afu washkaji wengine dili zao feki. Wanaomponda chidi unga, wengine wezi maofisini, wengine mauza mal*y* , wengine wanafki tu, wengine basi tu wambea, wengine ndo ivo hata watoto hawana maskin, wanatukana wakunga.. Mi nasema..sheeeenz kabisa. Tena muwe na adabu.
Chid ni kijana, kila jambo kwake ni mtihani. Akuna anayejua anachopitia, au kinachomsumbua kichwani mwake. Ata mzazi wake.
Mbaya zaidi mijitu mingine sijui michaw inaona mitandao ni bibi yao, inaanza kuponda na kutoa shutma kibao. Mlaaniwe mamayo.
Chidi ni mgonjwa, sensitive na anahitaji matibab ya haraka. Tena anahitaji matibabu ya muda mrefu. Indoor therapy, rehab
Mbung'o zingine nazo ni media za kichawi ndo maana kila siku maskendo ya kuwaibia wasanii. Badala ya kumsitiri na kuahauri au kumuadmit hospital yanatafuta kick. Nasema tena, wachawi tu nyie mamayo
Tena kuna jamaa nimemsoma majuzi apa anamhesabia chidi siku, mamayo..utaanza wewe
Kama umepitia ujana au kama wew ni kijana au hata mzazi unayejielewa, huwezi kumhukumu Chidi. Muombee afya njema na kama upo karibu au una uwezo, mwezeshe au shauri kwa watu wake wa karibu apelekwe anapostahili kuwa kipindi hiki kigumu anachopitia.
Na naombea kuongeza, ata kama chidi anatumia madawa, wengi mna addiction zenu zikitajwa humu in 5 min JF itakuwa haina member. Mtakuwa wote mmejitoa kwa aibu.
Chidi siyo hostile addict, anaweza kuwa admitted rehab na akairudia hali yake ya awali.
Nyoko nyoko Chingy, kwani ni mungu huyo chingy kumsifia chidi ndo imekuwa nongwa. Alistahili sifa kwa alichokuwa anafanya ndo maana chingy akampa sifa. Ata wew unayesoma apa ukiacha umbea, rushwa, majungu na upashkuna tutakupa sifa.
Na tena tusisahau maadili yetu. Mgonjwa hatukanwi mamayo zenu. Naskitika nimewatukana kwa kuwa mwauguwa akili. Ila hakuna anayeugua kichwa apa wala seheme zake za nyuma. Acheni ushamba. Mpeni pole chidi mtoto wa ilala.
Alafu mijitu mingine bhana sijui ikoje. Ivi kweli kwenye hii dunia ya utandawaz mijitu mingine haijajua kama Addiction ni ugonjwa. Mbafu kama hukufundishwa kwenye sayansi angalia hata movie basi. Mamayo wewe. Bila ivo hutakumbuka.
Admins mkiona poa. Futeni. Mkiona sensitive, kuna haja ya kumrejeshea chidi heshima yake bila kujali anayopitia, yengenezeni uzi. Ili iwe fundisho kwa wote wenye midomo kama chuchungi. Sheenz type.
Ugua pole Chidi. Tuko pamoja na wewe.
Fake. LikeMikelove
Nigoogle uone kama hujalamba gharasha