KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Anamkubali kwa hayo makitu au......ndiyo kasha jiaribu tena wahiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamkubali kwa hayo makitu au......ndiyo kasha jiaribu tena wahiiii
nadani kwa nyimbo zakeAnamkubali kwa hayo makitu au......
Ray C ameshajikubali na yuko kwenye DoziHvi sembe inanenepesha au kupunguza? Ray c kawa bonge hatari chidi kawa bajaji
Co yy banaWazee wa fitina wasema kwa sasa anatakiwa kuitwa chidi vits...
View attachment 330860
View attachment 330861
Jay Mo huyu nikumbushe nyimbo inaitwaje.Unga sio siri anaupenda anakiri
kuucha sio sawa.
Bora awe mjinga na akili ye na
unga kama kawa.
Alikuwa mtoto wa kishua maisha
akayachezea
jinsi alivyokuja kuwa hakuna
aliyetegemea.
Cheki maisha anayoishi sasa
anavyosikitisha...Chekimaisha anayoishi sasa
anavyosikitisha.
Stori tatu...ya Kwanza Ahmed yeye alipenda aitwe Medy, ya Pili ni ya demu nimesahau jina na ya mwisho ni InoJay Mo huyu nikumbushe nyimbo inaitwaje.
Shida yangu nikukule kipimo cha tezi dume, malipo Poudeer😀Ngoja nkusitiri. Coz naujua shida yako.
inno ndo nani.....Inno alikuwa mtu ambaye usingeweza kutegemea
kwamba leo angekuja
kuchanganyikiwa akili
au angekuja kutumia madawa ya
kulevya ni basi tu, nadhani ni
kutokusikiliza la mkuu.
Wimbo huo, mtunzi ni Mo teknik aka Jay Mo mzee wa Maisha ya boding, Mvua na jua na tingishaaaaaaaainno ndo nani.....
Alikuwa ni Chingy kipindi kile ndugu sio T.I kama ulivyosema.
Ila umenikumbusha mbali sana wakati mshkaji anapanda kumpa chidy tuzo yake huku linapigwa dar stand up, muhuni akawa analicheza goma kwa madoido yote yani.
Mungu atampa nafuu chuma.
"Nlikuwepo":bolt:
Jay Mo huyu nikumbushe nyimbo inaitwaje.