Chidi benz ulishinda battle nyingi saana kuanzia battle ya kutoka kuwa underground mpaka superstar wa hip hop bongo ulieweka kwapani tuzo kadhaa.
Ukuishia hapo tu, jukwaani na mtaani uliingia kwenye battle za ngumi kavu kavu bado kote ulishinda.
Nazijua beto kibao ambazo umefight na kushinda...C'moon Chid hii ishu ya madawa ni mchumba tu kwako kama wachumba wengine uliowakalisha kibabe...najua wewe ni dume jeuri. Ukiamua kweli kufight naye huyu madawa utamnyoosha mapema saana. Amua sasa dume.
inno ndo nani.....
Inawezekana Na hili pia likawa sababu ya kuwa hivyo.HUYU UMEME TU HAKUNA CHA SEMBE HAPA KUFICHA MAMBO ASEME ALIGUSA TRANSFOMA YA TANESCO AKIJARIBU KUIBA MAFUTA...
Huyu ngoma tuuh..! Mbona gada wanatumia waheshimiwa kibao na hawajawahi kuwa kama huyu, kuna mateja kibao wametumia miaka nenda rudi wanadunda licha ya kuwa na alosto shida huyu jamaa kitombi kakanyaga tanesco na gada ndiyo maana kapotezwa faster!Inawezekana Na hili pia likawa sababu ya kuwa hivyo.