Chidi benz ulishinda battle nyingi saana kuanzia battle ya kutoka kuwa underground mpaka superstar wa hip hop bongo ulieweka kwapani tuzo kadhaa.
Ukuishia hapo tu, jukwaani na mtaani uliingia kwenye battle za ngumi kavu kavu bado kote ulishinda.
Nazijua beto kibao ambazo umefight na kushinda...C'moon Chid hii ishu ya madawa ni mchumba tu kwako kama wachumba wengine uliowakalisha kibabe...najua wewe ni dume jeuri. Ukiamua kweli kufight naye huyu madawa utamnyoosha mapema saana. Amua sasa dume.
Unga ni zaidi ya battle check ulivyomkalisha na unazidi kumshindilia