Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Sembe a.k.a. dona imemfanya a corrupt mashairi hahaa
 
mmh anatisha .. hivi wanakimbiliaga nini kula unga wakati kuna starehe nyingine kibao?
 
Kuna nini katika tasnia ya muziki wa bongo flava?Nikimuangalia Chidi Benz, Mr Nice, Ray C nakuwa kama napoteza hope.
 
Khaa!!!hii kitu ni yakumuomba kwa imani kubwa Mungu unaemwamini akuepushie kizazi chako na madhila haya,maana ni balaa Chid Benz kawa hivi?
 
Madhara ya Madawa ya kulevya,vijana WENGI wazuri wameharibika sana.MUNGU tunusuru na janga hili..
 
πŸ™‚.πŸ™‚.πŸ™‚.πŸ™‚. Anasikitisha! powder mbaya sana! ni sawa na kula yamini! then ukosee masharti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…