Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

King Kong kawa mrembo kama anataka kugombea taji la miss Tanzania.
 
inasikitisha sana, safari ya chid benz inaishia hivi
 
Wengine wajifunze kupitia yeye , na Mungu Baba WA Mbinguni awasamehe.
 
Watu Wangu Wanaangamia Kwa kukosa Maarifa. Hii NGADA inamaliza vijana wengi sana wa Kibongo
 
Izo picha za Chidi mmezitoa wapi aisee kama siamini vile ule mwili jumba haupo tena
 
Samahani cm hii imei yake cjajua kama iko sawa chid awe hivi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…