Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Masikini. Hivi ni kweli? Huyu juzi juzi tulsikia amefungwa jela, ametoka jela na amekuwa hivyo!
 
Apelekwe makumbusho akahifadhiwe aweze kuingiza kipato kwa kuja kuangaliwa kama kivutio. Starehe zitampeleka kwa Muumba
 
Hii sembe tu au kafungua na bendi kabisa!!?
 
Daaah. Unga noma sana


Noma? Mwenzako Ridiwani Kikwete alikuwa mgawaji huko kwao China. Muulize nini kilichomsibu mpaka akafuatwa usiku usiku na mkuu kwa hela za wananchi na pengine yupo tu anamcheka mteja wake. Unga siku zote ni majanga. Ila wasanii wa bongo wanajilostisha sana na makamuzi wakati muziki wenyewe ni wa kukopi na kupaste tu na haudumu hata kama ilivyo kwa vitu feki.
 
Haya mambo mengine ni ya kujitakia...either kujua au kutokujua!
 
Wabongo wengi wanapenda sana mtu awe na jina kubwa halafu afeli aishiwe kabisa...

Ila akiwa katika peak ya carrier yake tuseme kama Diamond sasa hivi ... anafanya vizuri ila kuna mijitu imekaa inatamani tupate chidy benz wengine...

Ujumbe.... ni kwamba tuwasupport wasanii wetu wakiwa juu maana wakishuka huwa ndo byebye.. the same goes to them, ukiwa juu ukashindwa kutengeneza pesa usije kumlaumu mtu kama kina Daz baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…