Muonekano mpya wa Chidi Benzino

Kawa poa kabisa asije rudia tu, naona yupo Gym ya nyumbani kwa DIAMOND ni kweli nini wameshamsajili (WCB) ?????
 
Kawa poa kabisa asije rudia tu, naona yupo Gym ya nyumbani kwa DIAMOND ni kweli nini wameshamsajili (WCB) ???? Sidhani kama kasajiliwa kweli...but time will tell...
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] hapana mimi sio msemaji wa WCB[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Umenifurahisha sana, basi sawa nisamehe bure nilisahau kuwa wewe ni msemaji wa Chidi Benzi.
 
Duhhh, ndugu yangu yani kuangalia tu hivo vifaa vya mazoezi umejua kuwa hiyo gym ya Diamond??
Sio hiyo gym tu, mazingira yote ya home kwake nayajua. ( kuna kazi nilishawahi kuifanya hapo)
 
Alafu hii tabia ya kuwataja wanaoacha kubwia sembe kama Mashujaa, mi huwa siielewi kabisa...nadhani kutotumia kabisa ndio ushujaa.
Cut Them Some Slack Sio Rahis Kuquit Kama Unavyodhan Kweli Kutotumia Ni Ushujaa Ila Kuweza Kuacha Ni Ushujaa Zaid
 
jamaa amerecover vizur na kwa haraka sasa ajikeep bize na kazi ya muzic watu tumemiss radha, aache mihadarati
 
Hivi hakuna jinsi ya kufomati ubongo wa hawa watumia madawa ili iwe kama wamezaliwa upya tuanze kuwafundisha kuanzia aeiou?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…