Labda alikuwa anajidunga! Addiction ya mtu anayenusa ni rahisi kuibomoa compared na anayejidunga!Hivi mbn rayc haponi au yeye yuko so addicted..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alikuwa anajidunga! Addiction ya mtu anayenusa ni rahisi kuibomoa compared na anayejidunga!Hivi mbn rayc haponi au yeye yuko so addicted..
Na yeye anapaswa kujitambua na kuacha kabisa matumizi ya madawa hayo na aepukane na washikaji wake ambao walikuwa wanashirikiana kwenye starehe hizoChidi Benzino katika ubora wake mchizi ana recover kwa uzuri kabisa,eeh Maulana mjalie mja wako ujio mpya...View attachment 356562
Alafu hii tabia ya kuwataja wanaoacha kubwia sembe kama Mashujaa, mi huwa siielewi kabisa...nadhani kutotumia kabisa ndio ushujaa.
Substitute ndio nini ????
Unamsaidia Zari !!! kumbe wewe ni demu ????Msaidizi kama Mke wa Diamond iwapo Zari akiwa mapumzikoni Kampala.