Muonekano mpya wa Chidi Benzino

Alafu hii tabia ya kuwataja wanaoacha kubwia sembe kama Mashujaa, mi huwa siielewi kabisa...nadhani kutotumia kabisa ndio ushujaa.

Ni kweli kabisa kutotumia ndio ushujaa, Ila mtu akifanikiwa kuacha Ni bahati sana, ni ushujaa pia, nyunga Ni mbaya sana, mara nyingi ukianza huwa akuna kutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…