Naona anajitahidi kujipamba zaidi ya mobeto.Msanii Diamond anapoelekea siko kabisa.
Kaanza kuvaa vikuku amehamia kwenye hereni ,daah anafeli sana ,tumeshampoteza huyu. View attachment 855476View attachment 855477
Mboni nasikiaga eti haka kajamaa kanatafunagwa na yule "Mwarabu wa dubai"
au maneno ya watu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumuongelee kishoga mkuu??
Maskini ameshakua Nazi NaziMsanii Diamond anapoelekea siko kabisa.
Kaanza kuvaa vikuku amehamia kwenye hereni ,daah anafeli sana ,tumeshampoteza huyu. View attachment 855476View attachment 855477