Muonekano mpya wa Diamond Platnumz ni fire

Muonekano mpya wa Diamond Platnumz ni fire

Huyu tayari ni kibaraka wa kutumwa sio bure

mwanza kwetu
 
Ndo nanyie mashabiki wake muige basi, sindio munampenda
 
Huyu jamaa kashafumuliwa rinda tu, Mana haiji kabisa kwa mwanamme wakawaida mambo kama haya
 
Akisalimika kwenye ngada
Ashukuru

[emoji252] [emoji479]
 
Back
Top Bottom