Muonekano mpya wa Diamond Platnumz ni fire

Diamond ni mmah... usipoyanywa utayaoga.... hapo kawavutia tu atention..
Na wabongo tusivo na kazi ya kufanya utalisikia hili litavotrend kwny social network mbalimbali... afu ni utoto na akili finyu kumwona mond km punga... mbona kina joti wanaigiza mademu hatuzisikii hizi? Kina dullvan nao... kusuka ishakuwa topic... Ye anachoshukuru keshatrend tayari na keshaongeza views na kesho keshokutwa utamsikia akihojiwa wasafi tv... na lazima muangalie kasema nn... hapo huon anacheza na fursa? Mtaongea sana ila mond atabak mond... toka skendo za mwaka 2014 angekuwa wa kupotea angeshapotea lakin kijana bado yumo tu... hahahaha
 
Watu kama Anorld Shwazniger , Jean Cloude Van dame n.k
Wangeamua kujifanya hivi mbali na ustaa walokua nao.. leo hii wangefanana na vifusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazingira yake ya kazi yako hivyo,,,, udini na utamaduni kwa msanii wa bongo flavour tena aliye level za kimataifa hawezi kuvizingatia,
 
We jamaa Bwana" kwa hiyo ukiwa na mtoto bwabwa we huangalii usenge wake..akafir.....we ili mladi tu nyumbani papikike...acheni ushabiki wa kiboya jamaa anahitaj kupata ushauri wa hali ya juu.
 
uliyeandika umejaribu kusoma ulichoandika kwa kukiunganisha.. umesema muonekano wake ni fire( haya onganisha halafu soma kwa kiswahili)
 
Maandalizi hayo mkija kuona picha akipigwa mashine msishituke ndio vijana wetu hao
 
hapo kashau kuvaa kipini chake puani huyu jamaa anahamasisha ushoga authubilahi minashwaitwani rajiim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…