Muonekano mpya wa Diamond Platnumz ni fire

Muonekano mpya wa Diamond Platnumz ni fire

Nywele za kike kabisa , ameanza kujibadilisha jinsia taratibu
 
Hakuna bad publicity... diamond amefanya hivyo ili apate kuzungumziwa na jf ipo busy kumzungumzia ... amefanikiwa kwa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio wale hawali muwa mpaka wakamuliwe. Dar bwana.
 
Hii dalili hata kama ndio star look ila anatumika vibaya sana
 
mwacheni na maisha yake, we sikiliza mziki wake ukakojoe ukalale.
uislam umemruhusu
 
Jamani huyu sio waziri ni msanii Kuna audience kaitarget soko lake ndo analoangalia na ukiona humuelewi basi haijaandikwa uwe shabiki wake
Kweli! I can see this time ametarget soko la mashoga maana ana muonekano kama bibi
 
Ndio kazi inayompa hela hiyo lazima ajitoe ufahamu

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Back
Top Bottom