Muonekano mpya wa Jux!

Muonekano mpya wa Jux!

fadtanji

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
767
Reaction score
998
Huu ndio muonekano mpya wa hit maker wa ngoma kama uzuri wako, ntasubiri, sisikii, nikuite nan, wivu n.k. japokuwa ni uamuz wa mtu ila kiukweli jamaa hujapendeza. African boy endelea kuwa African boy haya mambo waachie wengine.
1470076583917.jpg
1470076635587.jpg
 
Huu ndio muonekano mpya wa hit maker wa ngoma kama uzuri wako, ntasubiri, sisikii, nikuite nan, wivu n.k. japokuwa ni uamuz wa mtu ila kiukweli jamaa hujapendeza. African boy endelea kuwa African boy haya mambo waachie wengine.
mkuu ndio anachosomea huko china?
 
Mnyamwezi huyo,swagga za states ndio habari ya mujini jamani...si mnasema ishu ni pesa na kweli anazo!
Nangoja wengine mje........
 
Huu ndio muonekano mpya wa hit maker wa ngoma kama uzuri wako, ntasubiri, sisikii, nikuite nan, wivu n.k. japokuwa ni uamuz wa mtu ila kiukweli jamaa hujapendeza. African boy endelea kuwa African boy haya mambo waachie wengine.
Hawa wa kutoka nchi gani maana sijaielewa vizuri hii habari.
 
Kapendeza hajapendezaaa.. ?! Kapendezaaaa
 
nimeamini niliyosoma kwny salimmsangi.blogsport kuwa wasanii wanatumiwa na nchi za magharibi kuufanya ushoga uonekane jambo la kawaida kupitia mavazi, tabia na swaga haya sasa tunayaona
leo tunaona ni.jambo la kawaida na hata fasheni za kiume za leo mhhhhh km za kike mwishow watu hujikuta wakijiingiza kwenye ushoga
huu ni.mkakati nzito sana
mwangalie ommy dimpoz pia
yaan mungu atunusuru
 
Back
Top Bottom