Muonekano mpya wa Jux!

Muonekano mpya wa Jux!

HAYO NI YA JUX...TUMUACHIE JUX...YAKO SI KAKUACHIA MWENYEWE YA NINI KUYAFUATA YA KWAKE..?
 
style ni mbovu to the maximum yn, haijampendeza.
 
hajatokelezea fresh.. may be angefuga rasta kam joh makin.
 
Style mbayaaaaaa, angeacha vilevile anavyonyoaga kibishololo
 
huyu sio mwenzetu, mcheki katika uzi unaohusu mtangazaji wa capital radio alisema


Kwenye uzi wa Gigy money na supu alisema hivi;


Wadau wakaanza kupata wasiwasi kwenye uzi wa Leyla Rashid


Na mwingine huyu alishituka

idadi ikaendelea

Na hapa chini alikuwa anafurahia makamu wa rais wa Marekani Joe Biden kuwafungisha ndoa machoko

Kwa msingi huo JF tumevamiwa.
Nilifikiri nipo peke yangu mkuu, hatari sana hii kitu asee Inferiority Complex
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kumekucha
 
Back
Top Bottom