mkuu ndio anachosomea huko china?Huu ndio muonekano mpya wa hit maker wa ngoma kama uzuri wako, ntasubiri, sisikii, nikuite nan, wivu n.k. japokuwa ni uamuz wa mtu ila kiukweli jamaa hujapendeza. African boy endelea kuwa African boy haya mambo waachie wengine.
Mkuu cheki kushoto kwakoNi yupi hapo? Nimtazame wa kushoto au kulia?
Dah aseee! Kuumbe ndiyo huyo? Hapa hatumjuagi. [emoji12]Mkuu cheki kushoto kwako
bado kutoboa pua kuweka heleni kwenye masikio n.k.....
Hawa wa kutoka nchi gani maana sijaielewa vizuri hii habari.Huu ndio muonekano mpya wa hit maker wa ngoma kama uzuri wako, ntasubiri, sisikii, nikuite nan, wivu n.k. japokuwa ni uamuz wa mtu ila kiukweli jamaa hujapendeza. African boy endelea kuwa African boy haya mambo waachie wengine.