X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
oooooohhhhhhHuu ndio muonekano mpya wa hit maker wa ngoma kama uzuri wako, ntasubiri, sisikii, nikuite nan, wivu n.k. japokuwa ni uamuz wa mtu ila kiukweli jamaa hujapendeza. African boy endelea kuwa African boy haya mambo waachie wengine.
View attachment 374610 View attachment 374611
Nilifikiri nipo peke yangu mkuu, hatari sana hii kitu asee Inferiority Complexhuyu sio mwenzetu, mcheki katika uzi unaohusu mtangazaji wa capital radio alisema
Kwenye uzi wa Gigy money na supu alisema hivi;
Wadau wakaanza kupata wasiwasi kwenye uzi wa Leyla Rashid
Na mwingine huyu alishituka
idadi ikaendelea
Na hapa chini alikuwa anafurahia makamu wa rais wa Marekani Joe Biden kuwafungisha ndoa machoko
Kwa msingi huo JF tumevamiwa.
amenEeh Mungu naomba kizazi changu na ndugu zangu wa kiume yasiwapate/wasipitie haya!
Naweka Agano na ww Mungu wa miungu ktk jina la Yesu kristo!
Amen
Wasanii wa kibongo hao wanaiga kila wanalolionaMbona picha tu hakuna maelezo hao ndio wakina nani au ni wanaume wa dar unawapa promo
HatarMmmmmh
Bado magauni tu mana sketi mkubwa diamond keshatuwakilishaWanatupa shida kutofautisha nani dume na nani jike
Kwema lakini mkuu joanahHatar
KwemaKwema lakini mkuu joanah