Muonekano mpya wa Leo Messi "La Pulga" wazua taaruki

His new hair style is inspired by Sergio Ramos one of the toughest Defenders he has ever faced.
 
Huyu jamaa ni very weak...yaani unakimbia mapambano kisa kushindwa??? Amuige mwenzake cr7 alichokua anafanya kule euro...
 
Messi ni mzungu tangu link?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....mkuu hilo boko dyuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] hiyo kweli mwendo kasiiiiii.........
 
Ni hatareee
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haters kwenye ubora wao


Ndio, he took out his inner gay side. Na yeye anatamani kuonekana mrembo, ni haki yake sisi ni nani tumpangie maisha?
 
Messi's new Identity, to disguise the Agencia Estatal de Administración Tributaria 😀😀😀...
 
Messi kaishiwa kweli
Mwenzie Ronaldo ana zindua hoteli mpya, ye ana leta stail ya nywele
Duuh
 
Messi kaishiwa kweli
Mwenzie Ronaldo ana zindua hoteli mpya, ye ana leta stail ya nywele
Duuh
Messi pesa yake ya chai ya asubuh ya siku moja anakulisha wewe na pagan kwa 10yrs asubuh mchana na ucku tena mkiwa mnakula chakula saaafi [emoji4]

King Messi
 
Kadri cku zina kwenda ana badilika alinaza na tattoo ya mguuni ya sura mtoto wke thiago cheki tatto alizonazo sasa. akaja midevu now nywele Sidhan km mdhamini ndo kamshauri ivyo
he used to be such a good and smart guy, lakini sasa huvi anabadilika kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…