Muonekano mpya wa Leo Messi "La Pulga" wazua taaruki

Muonekano mpya wa Leo Messi "La Pulga" wazua taaruki

Mikataba ya kishetani inambana afanye hivo....kwani wamemgharamia kias kikubwa cha mabilioni ya pesa kumpandikizia microchip kichwani mwake...ndo maana akili zake sio za kawaida uwanjani hususani anapokuwa na mpira....illuminanti ni hatare hao jamaaa wanamharibu...

Amebakiza mkataba mmoj wa kupewa pipe bana nyuma ba hilo ndo litawachukiza wengi hasa nyie ndezi wa bongo huku wakati watu wa LAMASIA walishakubalu yote hayo...wake up your mind pliz...
 
Messi pesa yake ya chai ya asubuh ya siku moja anakulisha wewe na pagan kwa 10yrs asubuh mchana na ucku tena mkiwa mnakula chakula saaafi [emoji4]

King Messi
Hehehe
Ana kwepa kodi huyo hela haram staki
Halaf Cr 7 ana ingiza mkwanja mrefu kuliko yeye so hata sina shda
 
Leo Messi, "La Pulga" Baba Thiago, Mchawi mweupe wa soka ameonyesha mashabiki muonekano mpya kuelekea msimu mpya ambapo ameweka blonde nywele zake hali hii imezua mjadala kwa mashabiki wke wengi wakichukuzwa na jambo ilo uku wengine wakimuthumu kwamba kaanza kamchezo kabaya cha kupumuliwa na wengine wakisema anazeeka vibaya
View attachment 370567
Criss brown
 
Messi ni mzungu tangu link?
Mmh Messi Ni Mzungu wa Italy Babu yake Alihamia Argentina mwanzoni mwa karne ya 19 Japo Waitaliano hawako pure White kama Wa finland,Austria,German,British,Au Danish n.k Wazungu weusi weusi ni Wareno,Spanish na Waitaliano Wengi
 
TAARUKI-: TAHARUKI
wazungu bhana, mwili una tatoo kama gazeti.. Huko kupumuliwa ??????*

Mfalme ni mzungu?? Nani kakuingiza mjini kijana?

Hili ndio tatizo la wabongo, ukiona mtu white ni mzungu hahaa..akili ni mali,na mali inahitaji akili
 
Leo Messi, "La Pulga" Baba Thiago, Mchawi mweupe wa soka ameonyesha mashabiki muonekano mpya kuelekea msimu mpya ambapo ameweka blonde nywele zake hali hii imezua mjadala kwa mashabiki wke wengi wakichukuzwa na jambo ilo uku wengine wakimuthumu kwamba kaanza kamchezo kabaya cha kupumuliwa na wengine wakisema anazeeka vibaya
View attachment 370567

Sikiliza wewe..sasahivi kuna networks mtu anaweza akachukua kichwa chako na akakuweka kwenye mwili wa mtu mwingine tena demu akiwa uchi wa mnyama...sasa hizo nywele unaamini kama ni zakwake?
 
1469655053246.jpg

Jamaa katisha
 
Mwacheni jamani apumuliwe maana mpira umeshaanza kumshinda.
 
Back
Top Bottom