Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Ukija Dar kutoka mikoani kama hauna msimamo wa maamuzi yako unaweza kufanya vituko sana.
Hahahah dah Huyo jamaa ana kazi sana kumbe kuna muda wanaume wa Dar wako sawa ni matatizo madogomadogo tu ndiyo yanawafanya waonekane vibaya.Hahahahahah halafu ukute kabila lako linatikea mkoa wa kigoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukija Dar kutoka mikoani kama hauna msimamo wa maamuzi yako unaweza kufanya vituko sana.
Hatari tupu mkuuHahahahahah halafu ukute kabila lako linatikea mkoa wa kigoma
HahahahaaaAisee..........noma sana........kweli kapona kwa kweli....tena kapona kweli kweli
No offence , ila watu wa mwisho wa reli wana 'ulimbukeni ' sanaUkija Dar kutoka mikoani kama hauna msimamo wa maamuzi yako unaweza kufanya vituko sana.
Sina hakika mkuu fundi bishoo:yupo ICU ??
No offence , ila watu wa mwisho wa reli wana 'ulimbukeni ' sana