Muonekano mpya wa Ruby "Mwanamke wowowo bana"

Huyu Mtoto Mlokole juzi tu alikuwa anatuhubiria injili ya Yesu hapa Sinza , anasali World Alive Ministry .

Huyu mtoto alikuwa kigoli na kifua kimesimama saa sita.

Huyu mtoto alikuwa na msambwanda mdogo wa kichokozi, si mnajua wachagga tena.

Huyu mtoto kwa sasa kapotea na Kamrudisha Yesu msalabani.

Matumizi sahihi ya msambwanda inafahamika, Sasa huyu mtoto sijui.

Hata mimi napenda mzigo wa kishkaji, huwa unaongeza munkari
 

Asee nami nitafutie mmalaya mmoja hapo kanisani kwenu basi
 
Napenda likienda................napenda likirudi.......
 
hahaha,
 
Angepiga mzima mzima ili tuamini !

Sasa tutaaminije kama yeye ?
 
Baada ya kimya cha mda mrefu ruby amukuja na muonekano mpya wa kimaumbile ambao unashawishi kumtazama kila akipita mbele yako, hakika zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo

Jiulize tu..kalitoa wapi hilo wowowo ndani ya muda mfupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…