Muonekano mpya wa Ruby "Mwanamke wowowo bana"

Baada ya kimya cha mda mrefu ruby amukuja na muonekano mpya wa kimaumbile ambao unashawishi kumtazama kila akipita mbele yako, hakika zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo

Si tunatazama wowowoo
 
Heheheh kafanya transplant
maana wanasemaga wowowo ni replacement ya sura nguvu,wenye sura ngumu huwa wanapewa wowowo ku compensate sura,huyu nae alinyimwa vyote naona ameamua ku force kukataa kimoja
 
Baada ya kimya cha mda mrefu ruby amukuja na muonekano mpya wa kimaumbile ambao unashawishi kumtazama kila akipita mbele yako, hakika zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo

Beauty without brains
 
Back
Top Bottom