Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe, mkuu umenikumbusha kuku sekela. Maeneo ya kisutu mamboz corner, daah sijui bado ipoHilo wowowo kaweka kweli au editing??
Kama kaliweka atakua alikua anajichukia sana, from kifaranga to sekela mambo ni hiiviiiii
Baada ya kimya cha mda mrefu ruby amukuja na muonekano mpya wa kimaumbile ambao unashawishi kumtazama kila akipita mbele yako, hakika zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo
maana wanasemaga wowowo ni replacement ya sura nguvu,wenye sura ngumu huwa wanapewa wowowo ku compensate sura,huyu nae alinyimwa vyote naona ameamua ku force kukataa kimojaHeheheh kafanya transplant
Baada ya kimya cha mda mrefu ruby amukuja na muonekano mpya wa kimaumbile ambao unashawishi kumtazama kila akipita mbele yako, hakika zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo