Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a

iphone hata ya $699 ni ya moto kwenye perfomance.

uliishatumia samsung z2 tizen,ukaona balaa lake!!!
ile ilikua samsung inayotumia OS yao wenyewe,ilikuwa balaa,sasa google hawana cha kujitetea,UI la kizushi kabisa.
Mkuu acha uzushi.. pixel 6 pro material you ndani ya amoled display ni moja ya skin Ui iliyotulia sijapata kuona kwani wewe umeona pixel gani?
 
Mkuu acha uzushi.. pixel 6 pro material you ndani ya amoled display ni moja ya skin Ui iliyotulia sijapata kuona kwani wewe umeona pixel gani?

pixel 6 pro inatumia pure android au wameibadirisha??
 
Android kavu na iOS inatosha sana, mimi sielewi mtu mzima unataka ufanye customization ya fonts na upuuzi mwingi wa nini, kikubwa performance

ios usiifananishe na huo uchafu mkuu.

usinambie super skin haina mzuka katika matumizi,hii simu yetu hata perfomance sioni kama ina maajabu,na tulitegemea sanabu haina makorokoro itakuwa nyepesi sana na kuweza kubania ram kama apple,ila ndio vile.
 
ios usiifananishe na huo uchafu mkuu.

Natumia iOS na nshawahi tumia android ya hivyo nakwambia kila moja iko vizuri mahala pake usitoe kauli ambazo hazina macho

Mfano: AI...Google assistant ni super intelligent kama ni mtumiz wa voice commands tofauti na Siri ambae yuko lazy ukweli nasema
 
Nmetoka tazama video ya mkbh alikuwa anaongelea hizi simu kumbe ishatoka. Anadai flagship za Google haziuzi sana kama hizi a ambazo zinakuwa cheaper kuliko flagship.
So wamekuwa na utaratibu wanatoa flagship halafu inakuja a series na cheap building materials lakini zikiwa na camera ya flagship na software experience ya flagship
 

kwenya ukweli nitaongea,mbona camera nimesema wazi pixel haina mpinzani.

huko tuendako ataachana tu na huo upuuzi,android one ya 1plus nadhani unaijua,ameediti kidogo bila kuiathiri sana lakini iwe na muonekano kiasi.
 
Finishing gani aliyonayo apple inayoizidi Samsung? Ipi?
 
Mkuu hardware Apple ama Iphone zina muonekano gani mzuri kuliko Samsung?

Ama kwenye hardware apple ana ubunifu gani mpya aliouweka kuliko Samsung?

sijasema uzuri mkuu,nazungumzia premium finishing
worldwide samsung anaongoza kwa design nzuri ya simu.
ila sio simu zinazotengenezwa katika mfumo wa kuvumilia shida mbali mbali,leo hii chukua s6 na 6s zipizokuwa mikononi mwa watu,utagundua s6 itakuwa imechoka zaidi na haitamaniki kuliko 6s.
 
Mkuu hayo ni matunzo ya mtu mwenyewe na sio simu.

Material za kutengeneza simu ni zile zile kwa kampuni zote za simu maana wanategemea kwenye supply chain yao.

Leo hii unaweza kukutana na mtu ana gari namba A iko kwenye hali nzuri kabisa wakati huo huo ukakutana na mwingine mwenye toleo lile lile la gari ila namba D na imechoka vibaya.
 

nitajie samsung zenye metalic frame unazozijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…