Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...

Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.

Watapata tabu sana.
Najivunia

received_1719994994721985.jpeg
 
Maendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
Umeongea kwa kufanya utafiti au chuki dhidi ya Serikali ya mheshimiwa JPM? Maana ungejua advantage za kujenga fly over usingukuja na blah blah.

Kwa kukusaidia tafuta hotuba ya Waziri kivuli wa mawasiliano na uchukuzi(MBATIA) kwa upande upinzani ya mwaka wa fedha 2016/2017 anaongelea umuhimu wa barabara za juu(fly over) tena ilikuwa inashauri serikali kwa ijenge barabara za juu ili ujue ina multi impact gani kwa maendeleo ya kiuchumi kama nchi na wananchi kiujumla.
 
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...

Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.

Watapata tabu sana.
Najivunia

View attachment 813205
Hili daraja halina tofauti sana na lililopo Mtoni Mtongani kasoro la Mtongani juu inapita treni ya Tazara chini magari na hili juu yanapita nagari kuelekea mjini na Pugu chini kuelekea Buguruni na Temeke, hii ni barabara ya zamani.
 
Mleta mada umewahi kutoka nje ya Tanzania? Kwanza ile sidhani kama ni flyover wala huwezi kuiita ni interchange. Kiuhalisia lile ni daraja. Lakini tunavyopiga kelele utadhani tumefanya maajabu katika Dunia.

Vitu vidogo kama hivyo vinatakiwa kujengwa bila ya kelele wala matangazo maana ni vya kawaida mno.

Kama huwezi kwenda mbali, nenda hata hapo Nairobi, ukaone zilizopo na zinazojengwa bila kelele.
 
Umeongea kwa kufanya utafiti au chuki dhidi ya Serikali ya mheshimiwa JPM? Maana ungejua advantage za kujenga fly over usingukuja na blah blah.

Kwa kukusaidia tafuta hotuba ya Waziri kivuli wa mawasiliano na uchukuzi(MBATIA) kwa upande upinzani ya mwaka wa fedha 2016/2017 anaongelea umuhimu wa barabara za juu(fly over) tena ilikuwa inashauri serikali kwa ijenge barabara za juu ili ujue ina multi impact gani kwa maendeleo ya kiuchumi kama nchi na wananchi kiujumla.
Acha mikwara, chuki iko wapi?
 
Back
Top Bottom